Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,745
- 218,335
We acha tu mkuuNimeona ni vema nikalifahamu hili ili na mimi nitoe tongo tongo , hasa baada ya ujio wa huyu kocha mpya wa Simba baada ya kumuondoa aliyeleta ubingwa , huku nikikumbuka Yanga ilivyomuondoa Pluijm miaka michache iliyopita .
Natanguliza shukrani .
au na wewe hufahamu kama mimi ?We acha tu mkuu
Hizi timu ni kama taasisi fulani kuna uongozi na bodi ya timu hivyo kocha yeyote asipofikia malengo huwa anaondolewa na body na anayefikia malengo huwa anaongezewa mkatabaNimeona ni vema nikalifahamu hili ili na mimi nitoe tongo tongo , hasa baada ya ujio wa huyu kocha mpya wa Simba baada ya kumuondoa aliyeleta ubingwa , huku nikikumbuka Yanga ilivyomuondoa Pluijm miaka michache iliyopita .
Natanguliza shukrani .
Kwa mfano unaweza kutuwekea malengo ya Simba msimu uliopita yaliyozidi ubingwa walioupata ?Hizi timu ni kama taasisi fulani kuna uongozi na bodi ya timu hivyo kocha yeyote asipofikia malengo huwa anaondolewa na body na anayefikia malengo huwa anaongezewa mkataba
Nadhani ukiipata bodi ya simba watakupa majibu sahihi kuhusu lengo walilomuwekea,Kwa mfano unaweza kutuwekea malengo ya Simba msimu uliopita yaliyozidi ubingwa walioupata ?
Hapo me pia sielew kwakwelau na wewe hufahamu kama mimi ?
una uhakika bodi ndio inaamua haya ? na je bodi hiyo ipo ?Nadhani ukiipata bodi ya simba watakupa majibu sahihi kuhusu lengo walilomuwekea,
Mie nimekujibu kutokana na swali la uzi wako
Lachante hakufikia malengo yepi maana ubingwa mlioutafuta muda mrefu mliupata!!!Hizi timu ni kama taasisi fulani kuna uongozi na bodi ya timu hivyo kocha yeyote asipofikia malengo huwa anaondolewa na body na anayefikia malengo huwa anaongezewa mkataba
swadakta ! nakuhakikishia huyu Tall wa sasa atatimuliwa mithili ya paka aliyekunywa maziwa ya mtoto , subiri !Lachante hakufikia malengo yepi maana ubingwa mlioutafuta muda mrefu mliupata!!!