Asante hu'ninyo ntamwambia 2jaribu kuufanyia kazi.je akikaa kimya then na binti nae akae kimya itakuaje na hapo lazma jamaa niwe nae benet ingawa ucku sidhani kama atavumilia kutokumpigia cm.thanksBinti bado hajatambua thamani ya penzi la jamaa.
Mwambie asitishe mawasiliano kama wiki hivi. Asimpigie simu wala asijibu msg ila binti akimpigia apokee.
Baada ya feedback ya hilo zoezi nitatoa ushauri mwingine.
Asante hu'ninyo ntamwambia 2jaribu kuufanyia kazi.je akikaa kimya then na binti nae akae kimya itakuaje na hapo lazma jamaa niwe nae benet ingawa ucku sidhani kama atavumilia kutokumpigia cm.thanks
Jamani naomba kutoa kisa hiki.Inaweza kua either uliwahi kuickia au kukutana nacho.
Ni kati ya wapenzi waliopenda sana kiac cha kila sehemu walikwenda wote walishrikiana kwa kila jambo mpaka mbele ya m2 atakaewaona alijua hawa ni wapenzi.Binti ni secretary kwenye stationary moja mjini hapa na jamaa anabiashara zake binafc.Hawa kila mmoja anaish kwake sasa hv jamaa anapelekwa puta binti hashikiki kila cku ni kusuruhisha ugomvi,binti amekua bize kupta kiac mpaka jamaa sasa utendaji wa kazi umeshuka.ki ukwel km ungewah kuwaona ungestaajabu sana.
Msaada:Jamaa anaonekana bdo anampenda binti na kwa khal hii cdhan km atakubal kumuacha.
Lakini pia kama kuna njia ya kulinusuru penzi hl tafadhar 2naomba msaada.
Na kama kuna dawa yaani aweze kulisahau penz hl itasaidia kwani inaoneka binti ameshaanza kutoa % kwa jamaa.
Angalizo:Ha2na nia ya kulivunja penzi lao japo kama itawezekana waludie kama zamani hy ndo dira ye2 kubwa kumsaidia.Sasa naomba niliweke mezani 2weze kulita2a.
Ni mimi mpendwa wenu KOKUDO.

Hapo kwenye blue hakuna shaka coz nilikua najibu hoja ya the hunter.pia nilijaribu kulifikisha hapa hvyo niliona niuvae uhusika ili ujumbe ufike msijari keybord ilijam.Hata hl la kua amepata mwingne linanijia sana make amebdlika kweli
Kokudooooooooo hiyo bluuu hiyo
Jamani naomba kutoa kisa hiki.Inaweza kua either uliwahi kuickia au kukutana nacho.
Ni kati ya wapenzi waliopenda sana kiac cha kila sehemu walikwenda wote walishrikiana kwa kila jambo mpaka mbele ya m2 atakaewaona alijua hawa ni wapenzi.Binti ni secretary kwenye stationary moja mjini hapa na jamaa anabiashara zake binafc.Hawa kila mmoja anaish kwake sasa hv jamaa anapelekwa puta binti hashikiki kila cku ni kusuruhisha ugomvi,binti amekua bize kupta kiac mpaka jamaa sasa utendaji wa kazi umeshuka.ki ukwel km ungewah kuwaona ungestaajabu sana.
Msaada:Jamaa anaonekana bdo anampenda binti na kwa khal hii cdhan km atakubal kumuacha.
Lakini pia kama kuna njia ya kulinusuru penzi hl tafadhar 2naomba msaada.
Na kama kuna dawa yaani aweze kulisahau penz hl itasaidia kwani inaoneka binti ameshaanza kutoa % kwa jamaa.
Angalizo:Ha2na nia ya kulivunja penzi lao japo kama itawezekana waludie kama zamani hy ndo dira ye2 kubwa kumsaidia.Sasa naomba niliweke mezani 2weze kulita2a.
Ni mimi mpendwa wenu KOKUDO.
Ushauli wako ni mzuri sana nimeufurahia sn kweli ukilazimsha uongo uwe ukweli utakua ukweli.ukweli ni huu tu na tena wa kisaikolojia.......rejeeni hapo kwenye reds tatizo la kwanza naliona kwa mvulana kwamba ana ugonjwa wa kumilikiwa na hisia au kitu....yaani possessed by possessions na akubali tu hata gari utaipenda ikiwa mpya sembuse mwanamke na hivyo ajue lazima mabadiliko yatokee na hata yeye huenda amebadilika pia cha kufanya aendane na mabadiliko ama ya dada kuwa busy au tabia mpya za dada.....na kuharibu kazi ikiwa sababu ni possessions basi jamaa yuko katika critical condition hivyo awaone wataalamu wa saikolojia.
Na huyu dada yupo busy kwa nyanja ipi....kwa kusema tu kwa jamaa kwa maneno au jamaa anaona live kuwa yupo busy na kama anaona yupo busy anachotakiwa kujua busy is life...ingawa madada wengi wanakasumba kama hakuhitaji anakwambia yupo busy sana kumbe ndiyo anaandaa sanda.
usilazimishe ukweli uwe kweli........maana hata uongo utaulazimisha uwe uongo.
Yes ndo mimi nilie andika but kisa hakinihusu labda nimeuvaa uhusika.ucjar Dena Amsi but ujumbe c umeeleweka?