Natumai muwazima wote . Kwanza naomba nitangulize shukurani za kusoma hii Thread yangu. Mimi ni mwanamke umri 25-30 . Natafuta mchumba ambaye atakuwa tayari kuwa katika mahusiano ya kiuchumba na kuelekea Ndoa. Naomba tafadhali awe mwenye watoto/ Mtoto wasiozidi 1-2 . Kama una zaidi ya hao nakuomba tafadhali unijulishe pia Mchumba ninayemtafuta awe na umri kuanzia miaka 29-35 awe Tayari ameshamaliza ujana wake na yuko tayari kutulia na kuanza maisha ya ndoa na kujenga Familia . Tafadhali naomba kama hauko tayari kuonyesha upendo Wa Kweli , kuowa , kulea familia au Hauna mtoti/ watoto naomba upite tuu .
Awe tayari kupima HIV na vinginevyo. Mkristo na sio Mkristo jina tafadhali .
Naomba kama uko tayari ni PM tuanze mawasiliano na kujuana pole pole . Nashukuru kwa muda we nu na ni naomba mnisamehe kama nimemkwaza yeyote. Asanteni sana.