Sijui mnawaza kwa kutumia nini. As vital yuko mkiani, El mereikh mkiani, vipers mkiani. Yaani kwa Afrika mashariki na kati na kusini ni Simba na Al hilal ndio wenye matumaini ya kufika robo. Halafu hivi Celtic anavyokuwa anashiriki uefa yuko level moja na PSG au real madrid? Kosa la simba ni nini?