Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,908
- 7,752
unamaanisha zindiko?VITUO VINGI VYA MAFUTA VINAJENGWA MISIKITI PEMBENI,NIMEFUATILIA KARIBU MWAKA SASA.
mFANO, kITUO CHA MAFUTA CHA UBUNGO MATAA, VITUO VINGI KANDO KANDO YA MOROGORO ROAD HADI MOROGORO, NA VINGINE NJIA YA CHALINZE SEGERA.
KUNA SIRI GANI KATIKA HII BIASHARA YA MAFUTA??
unamaanisha zindiko?
Mkuu kwani kuna uhusiano gani kati ya zindiko na misikiti?
VITUO VINGI VYA MAFUTA VINAJENGWA MISIKITI PEMBENI,NIMEFUATILIA KARIBU MWAKA SASA.
MFANO, kITUO CHA MAFUTA CHA UBUNGO MATAA, VITUO VINGI KANDO KANDO YA MOROGORO ROAD HADI MOROGORO, NA VINGINE NJIA YA CHALINZE SEGERA.
KUNA SIRI GANI KATIKA HII BIASHARA YA MAFUTA??
Sorry napita tu
Vituo vinamilikiwa na watu binafsi viwanja binafsi siyo serikali (public) wako na uhuru wa kujenga chochote
Besides, unaweza kwenda kituo chenye msikiti ukawauliza watakwambia kwanini?
Nyie iko siku mtauliza kwanini watu wanasali sala tano mlivyokosa aibu na heshima
tuliza munkari mkuu, niliuliza tu ili kujua coincidence iliyopo kwa vituo nane kati ya kumi kuwa na misikiti ilhali jirani na vituo hivyo misikiti ipo
tuliza munkari mkuu, niliuliza tu ili kujua coincidence iliyopo kwa vituo nane kati ya kumi kuwa na misikiti ilhali jirani na vituo hivyo misikiti ipo
Nenda kasali pale Victoria Filling station kuna kanisa la mlokole! mkishalewa mnakuja kutapikia humu!VITUO VINGI VYA MAFUTA VINAJENGWA MISIKITI PEMBENI,NIMEFUATILIA KARIBU MWAKA SASA.
MFANO, kITUO CHA MAFUTA CHA UBUNGO MATAA, VITUO VINGI KANDO KANDO YA MOROGORO ROAD HADI MOROGORO, NA VINGINE NJIA YA CHALINZE SEGERA.
KUNA SIRI GANI KATIKA HII BIASHARA YA MAFUTA??
Nenda kasali pale Victoria Filling station kuna kanisa la mlokole! mkishalewa mnakuja kutapikia humu!
Hoja ni Idadi au sehemu ya Ibada kujengwa katika Petro Filling Station ? mkiambiwa mnakurupuka mnabisha ! kumbe unajua kuwa Victoria kuna Kanisa limejengwa ndani ya kituo cha Mafuta eeeeehn ! jamani rahaaaaaaaaaaaa!moja kati ya mangapi...???
Hilo haswa ndio lilikua lengo ! huko kwingine mlikua mnazunguka, Kuna Mkurugenzi mmoja wa taasisi ya serikali, Ofisini kwake ametenga Chumba cha kuswalia, kule Baraza la Wawakilishi kuna Msikiti Ndani yake,mbona Ikulu huwa tuna chumba tunaswali na Mheshimiwa,pia Tulipokuwa tunasoma Chuo, Uongozi wa Chuo ulitupa chumba kikubwa tufanyie Ibada zetu sasa tofauti ni ipi?! hivyo kote huko tulikua tunaroga eeeeenh !? Katafute pipi ya kijiti ulambe!:target:ni wachawi tu hao,:embarrassed:
Hilo haswa ndio lilikua lengo ! huko kwingine mlikua mnazunguka, Kuna Mkurugenzi mmoja wa taasisi ya serikali, Ofisini kwake ametenga Chumba cha kuswalia, kule Baraza la Wawakilishi kuna Msikiti Ndani yake,mbona Ikulu huwa tuna chumba tunaswali na Mheshimiwa,pia Tulipokuwa tunasoma Chuo, Uongozi wa Chuo ulitupa chumba kikubwa tufanyie Ibada zetu sasa tofauti ni ipi?! hivyo kote huko tulikua tunaroga eeeeenh !? Katafute pipi ya kijiti ulambe!:target: