tafakari kali
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 211
- 39
Inategemea unataka kujua kwa kiwango gani. Kama unataka kuwa proffesional Ili ujue mambo yote hayo unahitaji kufanya course kamili ya diploma au bachalor. Ambapo kuna vyuo vingi tu vinatoa.
Kama unataka kujua tu kwa kujifurahisha na kuweza kupata idea basi hapa jf panatosha. Anzisha thread tu yenye specific area mfano computer networking. Watu watakuelimisha na watakupa link za articles na vitabu mbalimbali. Cha msingi usiwe mvivu wa kusoma. IT ina material mengi mtandaoni kuliko kitu chochote kile.
Upo sahihi mkuu.
Nitumie mkuu nitashukuru sanaIla kuna chuo kizuri kinatoa hizo course km mlimani college of professional studies mi mwenyewe nataraji kwenda hapo mwezi 9,kufanya dip km vp nikutumie wap site yao ujipatie application form?au unajifurahisha?
Ila kuna chuo kizuri kinatoa hizo course km mlimani college of professional studies mi mwenyewe nataraji kwenda hapo mwezi 9,kufanya dip km vp nikutumie wap site yao ujipatie application form?au unajifurahisha?
Ya mkuu nimekupata vizuri,ngoja nicheki hizo . Binafsi nataka tu kujua sana ila si kwa minajili ya kuajiliwa.Sio idea mbaya, ila ndo hivyo mtaji na mda. Maana tatizo la hizi diploma/certificate/degree etc zimekaa ki kutafuta makaratasi zaidi hata kama unapenda komputer unaweza ukakuta unachukia masomo.
Nakushauri cheki Udacity.com na Coursera.org
Good news is you can do it without costech!I hate this country :angry: kila kona ni ujanja ujanja tu hamna lolote.,,, wazo zuri lakini kuna vikwazo vingi. Sisi watanzania wenyewe hatutaki hii nchi ipige hatua., kwa mfano kuna project nlikua naifanya then nkawasiliana na mtu mmoja wa pale COSTECH ila alichonijibu :angry: na quote kidogo "what do expect me to do" yani agghhghghg basi tu.
Of course, mtandao belongs to you.Cha msingi usiwe mvivu wa kusoma. IT ina material mengi mtandaoni kuliko kitu chochote kile.
Good news is you can do it without costech!
yeah but COSTECH iz there for TZ na hamna wanachofanya wanapewa hela nyingi lakini hamna chochote
naskia kuna jamaa pale buguruni alitengeneza helkopta yake wakampiga mikwara na costech + hao wengine cjui ndo TCRA sasa huyu mtu unadhani saiv yumo wapi????? ni kupoteza muda kinachoiharibu TZ ni SYSTEM
I hate this country :angry: kila kona ni ujanja ujanja tu hamna lolote.,,, wazo zuri lakini kuna vikwazo vingi. Sisi watanzania wenyewe hatutaki hii nchi ipige hatua., kwa mfano kuna project nlikua naifanya then nkawasiliana na mtu mmoja wa pale COSTECH ila alichonijibu :angry: na quote kidogo "what do expect me to do" yani agghhghghg basi tu.