Ukiangalia hii video niliyoi_attach kutoka youtube, inaonesha hiyo short circuit kwenye transmission lines za umeme mkubwa . Kwenye comments session, kuna jamaa ka_comment "somewhere down the line, 50 transformers got their core burnt"
Sasa wadau wa Umeme naomba mnisaidie kuelewa nini hasa kinasababisha hizo transformers ziungue kwa mujibu wa huyo jamaa!?