asafadhali ningekuwa wa Chelese, hali yangu ni tete zaidi, naffuuu ya kupanga kukatia ubapa.......dhofli hali.natafuta japo timu ya kushangilia kwa mkopo......................lakini sio Manyudah! Lazima utakuwa fans wa chelsea...pole sana kaka kama vp kunywa sumu...viva Man U
Angalia usije kuwa fans wa liverpool coz nakuonea huruma sana mkuuasafadhali ningekuwa wa Chelese, hali yangu ni tete zaidi, naffuuu ya kupanga kukatia ubapa.......dhofli hali.natafuta japo timu ya kushangilia kwa mkopo......................lakini sio Manyu
hapo hunitoi kwa jinsi ninavyo hate...........
:majani7::A S angry:😱hwell::shut-mouth::glasses-nerdy::smiling::becky::madgrin::A S soccer::A S soccer::A S soccer::A S soccer::A S soccer::A S soccer::A S soccer::A S soccer:hate us or love us bt we still gonna b on top...:A S soccer:
kujamb.a ajambe amavubi akijamb.a juma necha habari magazetini!
tatizo lenu mnazungumzia marefa pale inapokuwa man utd tu!hata man utd akiumizwa hamsemi!goli tata la 2 la newcastle ingekuwa letu ingekuwa taabu mtaani,penati tuliyonyimwa hamuoni nyinyi wanga!santi cazola alipewa penati juzi wala hakuguswa ktk mechi na west brom
anyway tunajua kwanini mpo hivyo....kwa vile sisi ni washindi na washindani daima!tutabaki juu siku zote