Kwa nini Nchimbi amefukuzwa Chama?

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,971
Reaction score
6,670
Hapa imetokea misunderstanding.
Mwanachama( Nchimbi) amesema maneno ambayo hayakuwapendeza wanachama wengi(ne).

Anaitwa kwenye kikao cha nidhamu anakataa kwenda.
Anaondolewa kwenye wadhifa wake na pia anafukuzwa.

Hapa nadhani CCM inahitaji kureview jinsi inavyofanya vikao vya nidhamu.
Kwa sababu pale walihitaji tu kumpa warning.
Kumwambia,"we will be watching you,,one month,to see that you don't make such kinds of statements."
Halafu baada ya specified time ukiona Llie tatizo halijirudii,you remove the censure
 
Rais alohitaji mabadiliko kwa namna yoyote ile iwe kwa kuua kwa Figisu n.k

Wewe unadhan, Kauli ile ya KATIBA Mpya pekee inatosha, Kumfukuza Mtu Umakamo Hadi Uchama??
 
What we have is more than a regular president—it’s the god/goddess of evil. Messing with that deity is inherently perilous!
 
Kwani ilani ya chama inasemaje kuhusu KATIBA, tuanzie hapo
 
Hv ni chama gani kinachofuta utaratibu wa kufukuza wanachama wake?
Kije hapa na kieleze!
 
Kwanza ccm wenyewe hawakuwaonya wale vijana wao walio kuwa wanamshambulia Makamo wa Rais pia yule mbuge hata alimmwita Makamo wa Rais ni Yuda hivi kweli ile ni haki? Inaonekana Jamaa kavumilia mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…