Ee bwana hii nimeipenda sana, ila nadhani ingetulia zaidi kama hiyo tap ya warning ingekuwa sehem flani za hapo kwenye chini kwenye nanihii na pale juu kidogo kwenye maz.... anyway halafu ikaandikwa Danger, No access ingekuwa bab kubwa. Nadhani ukimwi ungekuwa hadithi