CosaNostra
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 382
- 139
bora ungepita tu, tusingejua level ya akili yako!Kama vipi mkamate tu! Usingoje polisi
bora ungepita tu, tusingejua level ya akili yako!
CosaNostra wewe umejificha kwa ID yako kama mimi, halafu wataka verified user akamatwe kwa mawazo aliyoongea bila kujificha. Bahati mbaya sikuona Ben Saanane akiandika hayo unayodai. Aliomba Mwamunyange ajitokeze. Watu kama Ben Saanane wanastahili heshima, maana wamethubutu kuuliza vitu ambavyo mimi na wewe twaona uoga kuuliza.Mambo ya uongo na uzushi huwa ni hatari sana, nchi nyingi zimeingia katika mapigano na mifarakano kwa ajili ya uongo wa watu wachache.
Ben - verified user hapa JF ameshiriki ku-publisize uongo kuwa eti mkuu wa majeshi (CDF) Gen . Davis Mwamunyange amedhuriwa na serikali inaficha taarifa zake.
Alifika mbali na kuipa serikali siku saba CDF aonekane hadharani. Bahati nzuri kutokana na kazi za kawaida, CDF akawepo katika media hii majuzi.
Sasa huyu Ben, anayefahamika na kutambulika anachukuliwa hatua gani? Sababu kesho atasema ooh, Kamishna wa TRA amedhurika, alikataa kupitisha mizigo fulani.... siku ingine Oooh, Mkuu wa uhamiaji amefanyiwa hiki au kile , na kadhalika.
Hawa ndio watu wanaotuletea tetesi zisizo na chembe ya ukweli na kisha kung'ang'ania kuwa ni kweli. Sometimes tetesi huwa zipo na huhojiwa zithibitishwe, lakini kung'ang'ania tetesi na kuzifanya ni ukweli inapasa tujue alikuwa na lengo gani? Nasema kwa nini Ben asihojiwe?
Aje aombe msamaha jukwaani. Mi binafsi naichukia tabia ya uongo maana hata rwanda na burudi walianza kuwa na watu kama benMwacheni mwana Rombo na yeye anaroho, kukosea ni kwa kila mwanadamu.
Aje aombe msamaha jukwaani. Mi binafsi naichukia tabia ya uongo maana hata rwanda na burudi walianza kuwa na watu kama ben
CosaNostra wewe umejificha kwa ID yako kama mimi, halafu wataka verified user akamatwe kwa mawazo aliyoongea bila kujificha. Bahati mbaya sikuona Ben Saanane akiandika hayo unayodai. Aliomba Mwamunyange ajitokeze. Watu kama Ben Saanane wanastahili heshima, maana wamethubutu kuuliza vitu ambavyo mimi na wewe twaona uoga kuuliza.