mkuu london ni mji mkubwa,kwa tanzania unaweza linganisha na dar.gharama za maisha zipo juu kiukweli hususana kodi ya kupanga nyumba.na pia kazi hizi za kawaida uwa inategemea na unavyojituma kutafuta na pia hali ya uchumi kwa kipindi hicho.kuna wakati unaweza ukapata kazi hata ndani ya wiki tu lakini kuna kipindi unaweza sota hata miezi 3 hujapata kazi.na kiukweli maisha ya ulaya ni kama kwenye bible vile asiyefanya kazi na asili,vinginevyo uwa na pesa ya kutosha.kila la kheri mkuu