Kwa matukio makubwa yalotikisa nchi yetu, watengeneza story za movies&series wako wapi Mbona kimya?

Nedago

JF-Expert Member
Sep 26, 2018
908
1,348
Ndugu wanajamvi nadhani nyie ni mashaidi wa hawa ndugu zetu wa bongo movie wamekuwa wakilalamika kuwa soko la muvi zao linakufa na Mimi naweza kusema limekufa kabisa,lakini wachawi ni wenyewe I mean Wamejiroga,maana kila muvi story ni zilezile wanakosa Ubunifu wa kutengeneza story kali na mpya,hapa inawagusa watengeneza story.yaani hawa jamaa wameshindwa hata kuunganisha matukio yaliyotokea Tanzania,wakati wa kupigania uhuru na baada ya uhuru hadi sasa na kutengeneza muvi au tamthilia zinazohusu tz before and after uhuru? Au matukio yalotikisa nchi yetu katika kila awamu?mfano awamu ya 5,tumeona ya kina Tindu lisu assassination attempt,jinsi eneo la tukio zilivyo ng'olewa CCTV camera na jinsi kesi ilivyofunikwa,mtu unaweza cover story yote ya lisu,makinikia ya madini Kati ya serikali na Acacia,kupotea kwa Tsh 1.5 trillion na kufunikwa nk nk.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Idea bomba sana hiii,hata wewe unaweza kutengeneza script na kwenda kuwauzia hawa bongo movie,lakini pia unaweza kuiuza nchi za jirani mana wansema kizuri kula na ndugu yako
 
Halafu hizo move wataenda kuziuzia Nigeria mkuu!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo Muvi Itakula Ban Ya Kufa Mu Watayarishaji Na Wasambazaji Kuishia Kuwekwa Ndani Kwa Uchochezi. Wa Muziki Tu Walionjeshwa Joto La Jiwe Wakanywea Kimya
 
Hiyo Muvi Itakula Ban Ya Kufa Mu Watayarishaji Na Wasambazaji Kuishia Kuwekwa Ndani Kwa Uchochezi. Wa Muziki Tu Walionjeshwa Joto La Jiwe Wakanywea Kimya
 
Idea bomba sana hiii,hata wewe unaweza kutengeneza script na kwenda kuwauzia hawa bongo movie,lakini pia unaweza kuiuza nchi za jirani mana wansema kizuri kula na ndugu yako
Kutengeneza story siwezi ila Nina idea tu,sio kila mtu anaweza tengeneza script mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaha,kwaio serikali haipendi haya matukio tuyaweke kwenye muvi ili na vizazi vijavyo vijue babu zao tulifanya nn?

Back
Top Bottom