Kwa maandamano haya dikteta Putin anaondoka, Pia huko Hongkong hakukaliki, wanasema ni USA anashnikiza

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
Is this the beginning of the end for the Putin dictatorship? Whenever it will be.. It will be swift...
We pray for the continued safety of these brave people..

More than 47,000 people - double the number of a few weeks ago - protested in Moscow yesterday. The Kremlin’s attempts to kill the pro-democracy movement are only making it stronger

 
Mlikuwa bado wengine hamjazaliwa wakati wa maandamano ya Tiananmen Square kule China. Kilichowapata wale vijana wa Chuo Kikuu hakiwezi kusahaulika hadi leo! Putin anaweza kutumia technique ile ya Wachina
 
huu upepo naomba uanze kuvuma na hapa east africa. na kama itapendeza naomba uanze kuvuma kigali au kampala halafu ifate dar es salaam, arusha na mwanza.
 
thread kama hizi kuwa zinachukiwa sana na praise team aka mazombi.
 
labda sio putin,hata hivyo hii ni awamu yake ya mwisho,hawawezi kumtoa,hadi maandamano yaachiwa hivyo ujue tayari amesahaplant watu katikati na wanasort out organiser na watu wanaofund hiyo movement,mwisho wa siku wataanza kunaswa mmoja baada ya mwingine mpaka movement ijikute haina leadership,hao jamaa ni wamesha master namna ya kucontrol maandamano na riots,same applied to hongkong,france hata maandamano ya kumpinga Trump,yalizimwa kiustadi mkubwa tu
 
Mwisho wa WATU wabaya ni AIBU, watakopakopa na kuweka viini macho wakiiba na kujimilikisha kila wakitakacho.
 
kwaio uku Africa hatuzimi kiustadi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…