Ni kweli nimekubali, sijui hata imekuaje. Du.! noma hii. Mods pls saidia hapa. Nipeleke kula MMU
No comment hapo!!!!Tunapiga naye box hapa kwa wahindi, wote tunatumwa tumwa tu. Namheshimu kama sister na pia naona anapete ya ndoa. Salamu ya asubui kama kawaida yangu ni Hi, hamna shikamoo.
Wazee wa getini huwa tunapeana mambo vipi babu,ikiambatana na utani wa hapa na pale pamoja na kahawa. Huyu dada huku ndani kila ninachofanya lazima atake kujua, kila nikiongea lazima atake kujua naongea nini na atataka kuchangia kitu ambacho hafit maana sio msela hivyo kila akichangia anachangia pumba alafu watu wanapiga kimya.
Kitu kinachoniuzi zaidi ni tabia yake ya kila siku kuniambia "unajua benteke wewe ni mdogo sana kwangu" what the... wala hamna mtu aliyemuuliza yeyetu.
Saa nyingine ananiambia eti "ujambo mdogo wangu" Kwa kweli anaikwaza, I don't like kabisa hii tabia.
Mpigishe gwaride umtie adabu ajue we ni mkubwa au mdogo...
Tunapiga naye box hapa kwa wahindi, wote tunatumwa tumwa tu. Namheshimu kama sister na pia naona anapete ya ndoa. Salamu ya asubui kama kawaida yangu ni Hi, hamna shikamoo.
Wazee wa getini huwa tunapeana mambo vipi babu,ikiambatana na utani wa hapa na pale pamoja na kahawa. Huyu dada huku ndani kila ninachofanya lazima atake kujua, kila nikiongea lazima atake kujua naongea nini na atataka kuchangia kitu ambacho hafit maana sio msela hivyo kila akichangia anachangia pumba alafu watu wanapiga kimya.
Kitu kinachoniuzi zaidi ni tabia yake ya kila siku kuniambia "unajua benteke wewe ni mdogo sana kwangu" what the... wala hamna mtu aliyemuuliza yeyetu.
Saa nyingine ananiambia eti "ujambo mdogo wangu" Kwa kweli anaikwaza, I don't like kabisa hii tabia.
Halafu we ni mtoto sana kwangu unajua?
Teh unantega ili nikupigishe ligwaride
shkamoo...
Kwa kimini na high heels siweziSiamini hata kama gwaride langu unaliwez