Homa la jiji
Senior Member
- Jan 13, 2014
- 129
- 28
Kwa matukio ya kihalifu na mauaji ya mara kwa mara yanayosababishwa na jeshi la polisi hapa nchini, imekuwa ni mazoea kwa raia kuishia kulalamika tu bila kuchukua hatua za kisheria. Au kufanya maamuzi sahihi juu ya nini kifanyike baada ya tukio ushirikiano umekuwa hafifu baina ya raia unakuta mtu kafanyiwa ndivyo sivyo na polisi akianza kufuatilia ili polisi awajibishwe kisheria unakatishwa tamaa na raia waliokuwepo wakati wa tukio wanaanza kukwepa kutoa ushahidi kiukweli tubadilike tushirikiane kutokomeza maonezi na ubambikiaji wa kesi na mauaji yanayofanywa na jeshi la polisi kwa kuwafikisha wahusika mahakamani na sio kuishia kalalamika tu.

Acha ujinga wewe huna ufahamu wakutosha juu ya matukio ndo mana unatetea maasi ya polisi jitambue watu wana athirika kwa matukio yao na wewe lzm na ni polisi
usitishie kesi ya kichwa hata wakinipa ya vichwa lzm ukweli ubaki palepale na simuoni wakunipa kesi ya kichwa najiamini na usiwe muoga kwa mambo ya msingi na akili zako usizigandishe kwa mambo ya msingi
naona unaandika vitu vya imagination than reality hebu fafanua vizuri ni nani walihusika katika tukio lolote ulilokuwepo wewe halafu tuambie ulichukua hatua gani ikiwemo kulalamika kwa mamlaka husika
Police siyo watu kabisa
Police huwa siyo watu ila ni nini mkuu??
Ni binadamu!!
Watu wote ni binadamu na binadamu wote c watu!!! Ili uwe mtu lazma uwe na utu na uthamini utu!