Kwa January Makamba tu

Mimi kwa kweli kwa upande wangu sioni kama ni kijana mbona mnampa sifa ya kijana?? Huyu ni mzee kabisa hata akili zake na mawazo yake ni ya mtoto mwenye umri wa miaka 2 maana mzee akishazeeka akiri zake zinarudi utotoni
 
Huko tuendako kuna vijana watayakana majina ya baba zao na hasa wale ambao bado wako hai. Ninamwona mwenyekiti ajaye kama mtu atakayetamatisha 'Uswahili' ndani ya ccm, na ndipo itakapokuwa kilio na kusaga meno!!
 
Haya yote wanayafahamu ila wanajifanya kufumba macho yao wasione yanayotokea lakini wanayaona,wanajifanya kuziba masikio yao wasisikie vijana wanataka nini lakini wanasikia na wanaelewa

Hukumu yao inakuja
 
Achana nao kenge hao.
Mwak huu ni mabadiriko tu hatutaki kusikia chochote kutoka kwenye vinywa vya mwana ccm yeyote.
 
Anakusma lakini?????????

Ndorobooooooo kweli huujamaa........!

Alinikera sana alichokifanya pale U/Taifa Katika mech Kati ya Stars na Nigeria huyu MwanaBumbuli.
 
Mkuu siyo vijana walioajiriwa,sema vijana waliobebwa kupata ajira
 

Lowassa ndo kijana wa kuleta mabadiliko !? Ulofa ni shidaa !
 
Umemuona Lowasa tu, halafu utakuta wewe ndio lofa wa mwisho.
 

my goodness!! mm ni Mzee lkn nimefarijika kusoma busara hii. je ni kweli madaktari (kina januari) wamepoteza ule moyo wa kufurahi wanapowaona wagonjwa wao wamepona na wako njiani wanafurahia maisha? au ni walewale wanaohamishia madawa ktk maduka yao na kuwaandikia wagonjwa wakanunue huko? wanaopiga dili kupitia magonjwa na shida za masikini na wagonjwa? wanaosema watatatua matatizo yote yanayosababisha umaskini halafu baadae wanasema hawajui kwa nn tz no maskini. naungana nawe kuwa vijana wenye uwezo waachane na hicho chama wakatuletee mabadiliko nje. ccm ikabaki kuwa ile ya waasisi ambao sofa yao kuu no kupigania Uhuru na kudhania kuwa baada ya Uhuru was bendera hakuna zaidi. vijana kushabikia ccm in janga
 

Mada tamu na ya kufikirisha.
Kwa nini unaituma kwa January Makamba tu?
 
sina hakika kama hawa vijana wasomi wa ccm niwatanzania! nadhani niukoo wa balali tutajua siku wakifariki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…