Usishushe hadhi ya watu aise! Single father ni yule anaejua kuwa kuna kiumbe/viumbe ameleta duniani na anaweza kuvihudumia hata kama hayuko pamoja na mama yao. Sasa kuna wengine wanazalisha na kutelekeza. Bila kujali umri wao, hao ni watoto wa kiume,na wasiojielewa.