Kwa hilo nakupongeza Sitta!

lubaga

Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
65
Reaction score
17
Kutoa motisha kwa watumishi wa wizara ya afrika mashariki ni busara sana, Lakini mdogo wako kikwete hatambui umuhimu huo, anawanyayasa waalimu, madaktari, wazee wa afrika mashariki na wengine wengi.

Kitendo cha sita kuwatambua watumishi wa wizara yake ni tafsiri tosha kwa jakaya kikweta kujifunza kujenga tabia ya kuheshimu watumishi wa nchi hii kwa kuwajali kuboresha maslahi yao,hilo ni somo kwako jk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…