Hamiduiddy
Member
- Jul 16, 2017
- 17
- 6
We jamaa kwanini unanisema?Hahahahaha wanaotoa povu n wale wenye stres za maisha, ajira hana, mtaji hana, nguvu mtaji hawez n mvivu kila kitu kwake hawez ila ana kidegree chake kaweka vyeti ndan anasubiri aitwe kwenye intavyu.
Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
Cjakutaja jina mkuu lkn jomon[emoji3][emoji3][emoji3]We jamaa kwanini unanisema?
Hilo neno lako limenichoma mpaka nawaza kubadili idCjakutaja jina mkuu lkn jomon[emoji3][emoji3][emoji3]
Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
Kwanza niombe samahani kwa hili maana wamezidi hawa watu wasio jielewa, hv ni kwa nn baadhi ya watu wanapenda kuwavurugia watu siku zao kwann watu wanapenda kucoment ujinga, Matusi, dharau kwenye post za watu hiv hii inaletwa na nn hasa mtu anapost vitu vyake ww unatoa povu kwani alikuwandikia ww si ufanye mambo yako mengine mbona mnakosa kujiheshimu lakin, au hii page baba zenu wanashea ni ujinga kabisa, heshimu mawazo ya mtu hukumpa bando ww ukiona haikuhusu pita kushoto
Sent from my TECNO P6 using JamiiForums mobile app
We ndo ukae kimya utazoea