Thibitisha..Inakera kujua majibu halafu watu hawakuulizi kitu...
soma alicho kiandika gaviNo research no right to speak.
Fuatilia ujue kwa undani. Pique hakulala na maza ake huyo kijana, alilala na mwanamke mwingine tofauti.
Kaa chini, kunywa maji kwanza ndo uje tena.
Af usifananishe wakina Shakira na hawa kina mwajuma ndalandefu wa kibongo. We endelea tu na mapenzi, madem wa kibongo hyo wakawaka hawaimbi, wao wanaimba zimazima. Utajua hujui
Je wajua kua Pique ni kati ya wachezaji wazee zaidi kwenye kikosi cha Barca? Na pia ujue Gavi ana miaka 17 so Pique ni kama mentor wake. Pia ujue mama yake Gavi kapishana na Shakira 2 yrs, sasa huyo dem aliepost hyo picha sio mama yake Gavi.soma alicho kiandika gaviView attachment 2253608
๐๐๐Je wajua kua Pique ni kati ya wachezaji wazee zaidi kwenye kikosi cha Barca? Na pia ujue Gavi ana miaka 17 so Pique ni kama mentor wake. Pia ujue mama yake Gavi kapishana na Shakira 2 yrs, sasa huyo dem aliepost hyo picha sio mama yake Gavi.
Mama yake na huyo kijana ni mtu mzima
View attachment 2253615
Matokeo ya uzinzi huvuruga familia, urafiki na hata undugu.๐ฌ๐ก๐๐ค๐ข๐ซ๐ ๐ข๐ฌ ๐๐๐๐ฎ๐ญ๐ข๐๐ฎ๐ฅ, ๐๐ง๐๐ก๐๐ฅ๐, ๐ง๐ข ๐ฆ๐๐๐ซ๐ฎ๐๐ฎ, ๐๐ง๐๐ข๐ฆ๐๐, ๐ค๐๐ฆ๐ณ๐๐ฅ๐ข๐ ๐๐ข๐ ๐ฎ๐ ๐ฐ๐๐ญ๐จ๐ญ๐จ ๐ฐ๐2, ๐ฐ๐๐ง๐ ๐ฆ๐ข๐๐ค๐ 11 ๐ฉ๐๐ฆ๐จ๐ฃ๐, walikutana southAfrica 2010 baada ya Shakira kutumbuiza wimbo maarufu wa mpira ๐ฐ๐๐ค๐๐ฐ๐๐ค๐, katika fainal za kombe la Dunia. lakin kamfumania pique na mwanamke mwingne kitandan, tena mama mzazi wa mchezaji mwenzake wa Barcelona, Gavi[emoji1][emoji1430]
Mbaya zaidi Gavi aliwahi ku comment kwenye moja ya post za Pique, akisema Padre yaan Father, moja kwa moja alikua anafahamu Pique anamkula mamake[emoji24]View attachment 2253299View attachment 2253300
Huyo mtu kwenye Avatar yako mzuri Sana.Umeandika kama unakimbizwa!!
Hahahaaaa โ๏ธHuyo mtu kwenye Avatar yako mzuri Sana.
Mwanmake mzuri kabla ya kukojozwa...ukishamkojoza hana jipya tenaUsikute Gerrard mwenzenu kashachoka vitimbi vya shskira
How comes unamcheat mwanamke mzuri ka Shakira.
Lazima kuna kitu!?