Chigwiyemisi
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 531
- 230
Nakubaliana nawe mkuu, BIG up!Kinachotokea kwa hivi sasa bungeni ni dalili za wazi za CCM kuaga uongozi wa Taifa hili. Kwanza kabisa wabunge wa CCM wameshindwa kabisa kufanya kazi yao ya kuisimamia serikali na badala yake wamejipachika jukumu la kuipongeza hata pale isipostahili pongezi. Wamekuwa ni mabingwa wa kupinga hoja zote hata zenye maslahi kwa taifa na wananchi wake ili mradi tu hoja hizo zimetolewa na wabunge wa upinzani hususani CDM. Wabunge wa CCM hawana kabisa uwezo wa kujenga hoja yoyote na kuisimamia isipokuwa kugonga meza na kuomba mwongozo wa spika/mwenyekiti. Wote kwa pamoja wakishirikiana na mawaziri wao wamekuwa wakijaribu kupooza hoja za wapinzani zenye nguvu na maslahi kwa Taifa kwa kutumia vijembe, kebehi na mipasho badala ya kujibu hoja hizo kwa hoja nyingine. Wanajaribu kutumia wingi wao bungeni kuwakandamiza wapinzani ili kuficha udhaifu wao na serikali yao. Hata mzee Sitta ambae kiasi fulani alijijengea heshima, kwa sasa imeshuka mno hasa baada ya kupewa nafasi ya kukaimu nafasi ya kiongozi wa shughuli za serikali bungeni. Majibu aliyoyatoa Sitta dhidi ya Mh. Kafulila na kuwatukana wapinzani kuwa ni wanafiki yameonyesha unafiki mkubwa wa mzee huyu. Inawezekana vita yake haikuwa dhidi ya ufisadi bali "TATIZO NI UWAZIRI MKUU" ndio maana baada ya kukaimishwa pale mjengoni amelewa sifa za Ki-CCM! Spika, naibu wake na wenyeviti wa kamati wote wanapwaya katika nafasi zao kwa ushabiki na upendeleo wa wazi. Mbunge mmoja wa upinzani perfomance yake bungeni ni sawa na wabunge 20 wa CCM. Lakini napenda kuwataarifu kuwa wananchi tunaona na tunapambanua mambo yote yanayoendelea bungeni! Na kwa hili nawatakia safari njema 2015!
Nawasilisha!
Mbowe kakupa shilingi ngapi wewe?Kinachotokea kwa hivi sasa bungeni ni dalili za wazi za CCM kuaga uongozi wa Taifa hili. Kwanza kabisa wabunge wa CCM wameshindwa kabisa kufanya kazi yao ya kuisimamia serikali na badala yake wamejipachika jukumu la kuipongeza hata pale isipostahili pongezi. Wamekuwa ni mabingwa wa kupinga hoja zote hata zenye maslahi kwa taifa na wananchi wake ili mradi tu hoja hizo zimetolewa na wabunge wa upinzani hususani CDM. Wabunge wa CCM hawana kabisa uwezo wa kujenga hoja yoyote na kuisimamia isipokuwa kugonga meza na kuomba mwongozo wa spika/mwenyekiti. Wote kwa pamoja wakishirikiana na mawaziri wao wamekuwa wakijaribu kupooza hoja za wapinzani zenye nguvu na maslahi kwa Taifa kwa kutumia vijembe, kebehi na mipasho badala ya kujibu hoja hizo kwa hoja nyingine. Wanajaribu kutumia wingi wao bungeni kuwakandamiza wapinzani ili kuficha udhaifu wao na serikali yao. Hata mzee Sitta ambae kiasi fulani alijijengea heshima, kwa sasa imeshuka mno hasa baada ya kupewa nafasi ya kukaimu nafasi ya kiongozi wa shughuli za serikali bungeni. Majibu aliyoyatoa Sitta dhidi ya Mh. Kafulila na kuwatukana wapinzani kuwa ni wanafiki yameonyesha unafiki mkubwa wa mzee huyu. Inawezekana vita yake haikuwa dhidi ya ufisadi bali "TATIZO NI UWAZIRI MKUU" ndio maana baada ya kukaimishwa pale mjengoni amelewa sifa za Ki-CCM! Spika, naibu wake na wenyeviti wa kamati wote wanapwaya katika nafasi zao kwa ushabiki na upendeleo wa wazi. Mbunge mmoja wa upinzani perfomance yake bungeni ni sawa na wabunge 20 wa CCM. Lakini napenda kuwataarifu kuwa wananchi tunaona na tunapambanua mambo yote yanayoendelea bungeni! Na kwa hili nawatakia safari njema 2015!
Nawasilisha!
Kinachotokea kwa hivi sasa bungeni ni dalili za wazi za CCM kuaga uongozi wa Taifa hili. Majibu aliyoyatoa Sitta dhidi ya Mh. Kafulila na kuwatukana wapinzani kuwa ni wanafiki yameonyesha unafiki mkubwa wa mzee huyu. Inawezekana vita yake haikuwa dhidi ya ufisadi bali "TATIZO NI UWAZIRI MKUU" ndio maana baada ya kukaimishwa pale mjengoni amelewa sifa za Ki-CCM! Spika, naibu wake na wenyeviti wa kamati wote wanapwaya katika nafasi zao kwa ushabiki na upendeleo wa wazi. Lakini napenda kuwataarifu kuwa wananchi tunaona na tunapambanua mambo yote yanayoendelea bungeni! Na kwa hili nawatakia safari njema 2015!
Nawasilisha!
Acha upuuzi kama sio upumbavu Mbowe hana pesa za kagawa kama Magamba wenzio.Mbowe kakupa shilingi ngapi wewe?
mvi ndio busara babako na mamako hawana?alafua anaelekea mvi zimeongezeka siku hizi!?
Acha upuuzi kama sio upumbavu Mbowe hana pesa za kagawa kama Magamba wenzio.Mbowe kakupa shilingi ngapi wewe?
Kinachotokea kwa hivi sasa bungeni ni dalili za wazi za CCM kuaga uongozi wa Taifa hili. Kwanza kabisa wabunge wa CCM wameshindwa kabisa kufanya kazi yao ya kuisimamia serikali na badala yake wamejipachika jukumu la kuipongeza hata pale isipostahili pongezi. Wamekuwa ni mabingwa wa kupinga hoja zote hata zenye maslahi kwa taifa na wananchi wake ili mradi tu hoja hizo zimetolewa na wabunge wa upinzani hususani CDM. Wabunge wa CCM hawana kabisa uwezo wa kujenga hoja yoyote na kuisimamia isipokuwa kugonga meza na kuomba mwongozo wa spika/mwenyekiti. Wote kwa pamoja wakishirikiana na mawaziri wao wamekuwa wakijaribu kupooza hoja za wapinzani zenye nguvu na maslahi kwa Taifa kwa kutumia vijembe, kebehi na mipasho badala ya kujibu hoja hizo kwa hoja nyingine. Wanajaribu kutumia wingi wao bungeni kuwakandamiza wapinzani ili kuficha udhaifu wao na serikali yao. Hata mzee Sitta ambae kiasi fulani alijijengea heshima, kwa sasa imeshuka mno hasa baada ya kupewa nafasi ya kukaimu nafasi ya kiongozi wa shughuli za serikali bungeni. Majibu aliyoyatoa Sitta dhidi ya Mh. Kafulila na kuwatukana wapinzani kuwa ni wanafiki yameonyesha unafiki mkubwa wa mzee huyu. Inawezekana vita yake haikuwa dhidi ya ufisadi bali "TATIZO NI UWAZIRI MKUU" ndio maana baada ya kukaimishwa pale mjengoni amelewa sifa za Ki-CCM! Spika, naibu wake na wenyeviti wa kamati wote wanapwaya katika nafasi zao kwa ushabiki na upendeleo wa wazi. Mbunge mmoja wa upinzani perfomance yake bungeni ni sawa na wabunge 20 wa CCM. Lakini napenda kuwataarifu kuwa wananchi tunaona na tunapambanua mambo yote yanayoendelea bungeni! Na kwa hili nawatakia safari njema 2015!
Nawasilisha!
Ni nani ambaye hakuona kile kiganja kilitokea makao makuu ya CC Magamba na Ikulu kwa jaa la kaya kikiandika hivi "MENEMENE TEKELI NA PERESI. Ufalme wa JK na magamba tayari umefitinika. Dalili za kufitinika kama vitabu vitakatifu vilivyoandika ni kugombana wenyewe kwa wenyewe, kugawanyika katika mapande ya kimtandao. Na kikwete aliingia na hilo pepo.Mkuu Chigwe umelonga mzee. Lakini hawajui wanajimaliza wenyewe kwa sababu siku hizi watu wengi wanapenda kusikiliza bunge. Kwa hivyo wanapembua chuya na mchele.
Kwenye nyekundu ya kwanza hapo juu, wanapinga posho za vikao zisifutwe halafu hapo hapo mbunge anasema hospitali ya rufaa Singida imepewa hela kidogo wakati waliishaambiwa pesa tutakazo sevu kwenye vikao zitafanya kazi nyingine kama ujenzi wa hiyo hospitali.
Kuhusu mzee Sitta, mimi nilishawahi kumwambia rafiki yangu kwamba hamna rais wa kupambana na rushwa, ufisadi kutoka CCM kwa vile wote wana madhambi. Sita amedhihirisha hilo kwa kutetea utumbo. Hii ni kwa vile amelewa sifa za ki-CCM kama ulivyosema.
"Tutaipigiania haki yetu kwa ajili yetu na vizazi vyetu...Tanzania ni yetu sote sisi na vizazi vyetu na wala si ya CCM na vibaraka wao..Ni heri kufa kishujaa lakini historia mpya ikiwa imeandikwa kuliko kufa kinafki" Ng'illy 8[SUP]th[/SUP] June, 2011
Useless mind...hapa tunajadili issues siyo watu!Mbowe kakupa shilingi ngapi wewe?
Useless mind...hapa tunajadili issues siyo watu!