Usione kimya best...nipo kwenye foleni Loliondo toka jumatatu, mimi ni mtu wa 1561..! huku hakuna kuzamia ukizamia tu au kutoa rushwa hauponi...nyuma yangu nawauona jamaa kibao, mohamed Shossi, Washawasha. Katavi, Gurta, Lady N, Husninyo, Zayat, Mkombozi, Genekai, Jaguarpaw, Mr Cool, Nduka, Superfisadi, Wacha1, Mmwanifu, Jaruo Nyeupe, Gaston, Mbweta, Puuuu, Maria Roza, Dorry, Corlpole, Mbimbinho, huwezi amini mpaka Invisible amepanga foleni ni mtu wa 1569, mashikolomageni wa 1621..nitakuwa nakujuza kila kitu ila network tatizo