Nina duka la vifaa vya ujenzi ila mtaji wangu mdogo nahitaji mtu mwenye duka la vifaa vya ujenzi anayeuza Kwa bei ya jumla anisaidie vifaa niuze faida nabakia nayo, na hela yake namrudishia katokana na makubaliano mimi niko hapa dar maeneo ya Kitunda