GREAT VISIONAIRE JF-Expert Member Joined Sep 28, 2012 Posts 365 Reaction score 454 Oct 6, 2012 #1 Nina uwezo wa kusupply kilo 3 hadi 5 ningependa kujua tola moja unaichukulia kwa shilingi ngapi?uni pm ili tuweze kufanya biashara
Nina uwezo wa kusupply kilo 3 hadi 5 ningependa kujua tola moja unaichukulia kwa shilingi ngapi?uni pm ili tuweze kufanya biashara
GREAT VISIONAIRE JF-Expert Member Joined Sep 28, 2012 Posts 365 Reaction score 454 Oct 6, 2012 Thread starter #2 Inatokea nyamongo,na grade ni 88 hadi 92
B bmuba81 New Member Joined Apr 18, 2012 Posts 3 Reaction score 0 Oct 19, 2012 #3 Kaka nipigie au nibeep kwa namba hii 0717424677 ,tunaweza tukafanya biashara! GREAT VISIONAIRE said: Nina uwezo wa kusupply kilo 3 hadi 5 ningependa kujua tola moja unaichukulia kwa shilingi ngapi?uni pm ili tuweze kufanya biashara Click to expand...
Kaka nipigie au nibeep kwa namba hii 0717424677 ,tunaweza tukafanya biashara! GREAT VISIONAIRE said: Nina uwezo wa kusupply kilo 3 hadi 5 ningependa kujua tola moja unaichukulia kwa shilingi ngapi?uni pm ili tuweze kufanya biashara Click to expand...
babu M JF-Expert Member Joined Mar 4, 2010 Posts 5,222 Reaction score 3,176 Oct 20, 2012 #4 Naomba msaada wa kueleweshwa. Mimi kuna kipindi nilikuwa nina nunua gold lakini kwa viwango vya karat. Grade 88 and 92 naomba msaada.
Naomba msaada wa kueleweshwa. Mimi kuna kipindi nilikuwa nina nunua gold lakini kwa viwango vya karat. Grade 88 and 92 naomba msaada.
georgeallen JF-Expert Member Joined Jun 3, 2011 Posts 4,120 Reaction score 1,882 Oct 20, 2012 #5 alluvial au reef gold tunanunua kwa gram Tshs 30,000
M manyusi JF-Expert Member Joined Mar 3, 2009 Posts 292 Reaction score 170 Oct 21, 2012 #6 GREAT VISIONAIRE said: Nina uwezo wa kusupply kilo 3 hadi 5 ningependa kujua tola moja unaichukulia kwa shilingi ngapi?uni pm ili tuweze kufanya biashara Click to expand... weka namba yako ya simu hapa
GREAT VISIONAIRE said: Nina uwezo wa kusupply kilo 3 hadi 5 ningependa kujua tola moja unaichukulia kwa shilingi ngapi?uni pm ili tuweze kufanya biashara Click to expand... weka namba yako ya simu hapa