Mkuu hiloo la new sim detected
Lisikupe shaka... Ishu ni kama kuna hiyo tracking apps..
Kwanza jaribu kuchunguza kwamba hiyo simu haijafanyiwa rooting.. My point is kama imefanyiwa rooting kuna uwezekano mkubwa wa hiyoo simu kuwa na tracking apps.....
setting>>> apps manager kisha chunguza
kwa makini app moja hadi nyingine, ukiiona app
yoyote usiyoielewa inukuu sehemu kisha
nenda google ukaisearch ili ujue kazi yake..
Bt kwanza fanya hard reset kwenye hiyo simu...