Wadau,nataka kununua hii gari,toyota ipsum ya kuanzia maisha,ila kabla ya mchakato naomba kwa anayeifahamu vizuri,ulaji wake wa mafuta,spare parts upatikanaji wake,kwa ujumla, uzuri na ubaya wake upo wapi?
Sifa zake,
Displacement; 2,000 cc VVTI
Steering; Right
Transmission; Automatic
Fuel; Gasoline/Petrol
Model code; UA-ACM20R