Kwa anayehitaji computer-CPU

HiFi

Member
Joined
Nov 12, 2016
Posts
36
Reaction score
12
Cpu kwa 70, 000/=
-Proccesor-i5
-Ram-2gb
-hd-200gb
-dvd writer
-Nvidia card
-keyboard
Inafaa sana kwa shughuli za kiofisi.
Napatikana mbezi mwisho-kimara
Contact. 0755360552
 
bei ya complete na screen. ofisi yako iko wapi. vipi wa mikoani. nahisi humu mnatangaza kwa kujali sote tunaish dar
 
bei complete pls na unapatikana wap
 
bei ya complete na screen. ofisi yako iko wapi. vipi wa mikoani. nahisi humu mnatangaza kwa kujali sote tunaish dar
Nipo mbezi mwisho-kimara dar.
Complete na screen 18inch itakuwa 110, 000/=
Naweza pia kukusafilishia kama upo mkoani best, japo sio mfanyabiashara wa haya mavitu. Hii machine toka nimeinunua, imekuwepo tu ndani bila kazi sasa nimeona bora niitoe tu isije kuharibikaπŸ˜€
 
Ni core i5? Mbona imeandikwa pentium boss??
 
Ebwana nichek 0716069884...nahtaji Hata kesho
 
Hamna core i5 hapo. weka proof kama ni core i5.
 
Hamna core i5 hapo. weka proof kama ni core i5.
Wanunuaji wameshafika bei acha uboya.
Unataka niweke na screenshot ya system infos humu au? Yani unawezaje kuhakiki ubora wa bithaa kupitia online peke yake bila kufanya ukaguzi physically? Wakati mwingine ujuaji mwingi unaweza kukufanya ukaonekana zuzuπŸ˜€
 
Kama mashine ndo hiyo kwenye picha hamna core i5 hapo, inawezekana hujui hata unachokiuza.
cc Chief-Mkwawa
 
Kwani wewe ulikuwa unatakaje, mbona mimi biashara nilishamaliza, wanunuaji waliingia pm, wewe upo hapa unapiga tu kelele kuchosha watuπŸ˜€
Labda nikusaidiaje yani ili ulidhike japo sio mnunuaji?ujishangai kwamba ni wewe peke yako ndiye unayelalama humu, na hatujui tukusaidiaje!acha ujuha wewe.


Kama mashine ndo hiyo kwenye picha hamna core i5 hapo, inawezekana hujui hata unachokiuza.
cc Chief-Mkwawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…