mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 96,520 Reaction score 138,454 May 20, 2014 #1 kiwanja kipo kigamboni amani gomvu....siyo mbali na barabara.ukubwa wa viwanja kipo sqmt 500, kipo sqmt 600, na kipo sqmt 590 ......bei ya sqmt ni sh 9000...viwanja viko nyuma ya appartments za sofia simba....natanguliza salam
kiwanja kipo kigamboni amani gomvu....siyo mbali na barabara.ukubwa wa viwanja kipo sqmt 500, kipo sqmt 600, na kipo sqmt 590 ......bei ya sqmt ni sh 9000...viwanja viko nyuma ya appartments za sofia simba....natanguliza salam
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 96,520 Reaction score 138,454 May 20, 2014 Thread starter #2 kwa anayetaka kiwanja kigamboni.....maana kwenye topic nilichapia..alafu cha kuongezea wadau ni kutoka kivukoni hadi hapo amani gomvu ni km 24
kwa anayetaka kiwanja kigamboni.....maana kwenye topic nilichapia..alafu cha kuongezea wadau ni kutoka kivukoni hadi hapo amani gomvu ni km 24