Zero Brain
Member
- Apr 20, 2013
- 39
- 3
Ninavyojua mim hicho chuo hakijasajiliwa lakini kinaendelea kupokea wanafunzi, mim nilimpeleka mdogo wangu hapo kasoma mwaka mzima ndio nikapata taarifa za kutosajiliwa, nikafanya utafiti wizara ya afya nikaambiwa hawakitambui hicho chuo,
Angalizo: fuatilia kwanza wizarani kama
kimesajiliwa hiv karibuni ndio uende,vinginevyo utapoteza muda wako

Oooooh! Nimepata kitu apo.
hapo hamna vigezo wewe ingia tu..... ila hakijasajiriwa
mm nipo hapahapa CHIMALA
Nenda Ilembula hapo Njombe kwa uhakika zaidi, ni chuo kikongwe. Kina mazingira mazuri zaidi kwa mtazamo wangu. Ukitaka uhakika ulizia tu kwa watu.Polen na majukumu wakuu!
naomba msaada
kwa anaekfahamu hcho chuo anipe vgezo vya kujiunga apo na mazngra ki ujumla!
@shkrani
1.We acha uongo!!!
Wizara wamekuja mwaka jana kukagua
2. Wizara walikataa kusajili wanafunzi wasio na sifa (UFAULU) mwaka juzi na jana!
3. Wizara ndo wametoa maagizo mengi tu ambayo chuo kinatekeleza kwa barua ambazo tumeziona. mfn. kupanda kwa ada za mitihani(kutoka 60,000 mpk 150,000)
Nenda Ilembula hapo Njombe kwa uhakika zaidi, ni chuo kikongwe. Kina mazingira mazuri zaidi kwa mtazamo wangu. Ukitaka uhakika ulizia tu kwa watu.
Labda kama medical attendant ninavyojua chuo chenye usajili ni ilembulaJamani mbona kuna wenzetu wamesoma na wameajiriwa na serikali tena wengine wapo hapa hospitali ya rufaa iringa na mikoa ya kaskazini!!!???
Kwa kusema hakija sajiliwa HAPANA!!! Nadhani mi ni shahidi namba 3. 1. Mkuu wa chuo 2. Wahitimu walioajiriwa.