KWA ANAEJUA KUHUSU LINUX

i 37

Senior Member
Joined
Dec 6, 2018
Posts
155
Reaction score
56
natumia linux elimentary ila tatizo linakuja pale napotaka play game inashindikana na nimesha danload apps zote zinazo husika na kurun game
ila napo fungua option ya ku add non listed programe haitokei ( both playonlinux and steam os)
 
Hiyo OS niliwahi kusikia mtu anasema ni kimeo sana
 
natumia linux elimentary ila tatizo linakuja pale napotaka play game inashindikana na nimesha danload apps zote zinazo husika na kurun game
ila napo fungua option ya ku add non listed programe haitokei ( both playonlinux and steam os)
Hilo ni gemu ni la windows OS?
 
Kimeo kivipi? Mimi nimekuwa nikitumia ubuntu muda mrefu. Sijaelewa unaposema kimeo unamaanisha nn.
kwake yeye hajaizoea amezoea windows OS na isitoshe pc aliletewa zawad kutoka nje ya nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…