Binafsi yangu nimefanya upembuzi yakinifu nikabaini hili lisemwalo lina ukweli hassaa! Na wala hamsingiziwi kwamba:-
Kwa mwanamke yeyote yule awapo kokote ama popote nje au mbali ya kitanda kama vile veranda, hotelini, ndani ya bus n.k. ukimwambia we dada/ mama/ shangazi kaa vizuri kama alikua amekaa na ametanua miguu basi ataibana, na mama/dada huyohuyo akilala na mwanaume kitandani akiambiwa kaa vizuri kama alikua amebana miguu ataitanua!
Kwa hili la kufanya mambo vice- versa mnalikubali kwamba huwa nyie hamko straight na mnachokisikia au mnasingiziwa?