Kuzuia michepuko

hhaaha mkuu nafikiri hako kavidio nmeisha kaona si yule jamaa muislam anasifia eti mbinguni kunamizigo harafu allah anakupa na nguvu za kiume za kuchapia hio mizigo yote

Hahahahahahahahahaha....there your my friend.... Unapewa nguvu za kuchapia mizigo mia kwa siku. Halafu unapewa Mizigo 40 ya nguvu mizuri mizuri..... teheheheheheheheheh...
 
Kwa taarifa yako hata hao wenye wake wanne bado wanachepuka. Halafu kuchepuka si wanaume pekee Kama unavodhania. kwa vile wewe hutaweza kulala nao wote wanne kila siku basi nao pia waweza kuchepuka ili kupata huduma badala ya kukusubiri wewe mtu mmoja uliyejifanya Kama jogoo la kuku!
 
hhaaha mkuu nafikiri hako kavidio nmeisha kaona si yule jamaa muislam anasifia eti mbinguni kunamizigo harafu allah anakupa na nguvu za kiume za kuchapia hio mizigo yote

Duh huwaga wananipa shida kuwaelewa hawa ndugu zangu ni Mungu yupi wanae Mhubiri.... Mizigo mia kwa siku sio mchezo. Sasa kazi muda gani wanafanya.
 
Four ways but michepuko inaendelea tu hii ni tabia unaweza kuwa na wake wanne ila ukawa na michepuko vilevile mbona wengi tunawaona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…