yupo mwingine, eti anadai ni mama mtu mzima, ana pesa nyingi sana na amelazwa hospitali, siku zake za kuishi zimeisha, ivo anataka akutumie izo pesa we ukatoe kwenye vituo vya watoto yatima vya Africa, ishu itakuja kua utume ela ya wakili coz ye hawez kumove, baada ya muhuli pesa zitaamishwa kwako, cha ajabu she is very sick but anatype page nzima tena bila hata kukosea ye mwenyewe.