teac kapex
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 470
- 137
Kiaje sasa mimi nimeomba mwenye uelewa na hii kitu anisaidie ikiwa ni pamoja na wewe hii ni kwa manufaa ya wengi JF kisima cha maarifa
Kifupi web inatokana na template kutoka netadventist.org, hivyo sina ninachokijua zaidi ya kuedit hiyo template na kuongezeavbasdhi ya vitu hebu ingia kahama.adventistafrica.org uoneumetumia platform gani kuitengeneza(naamaanisha wordpress,joomla,etc)?
au umecode from scratch ?
ile nikupe njia rahisi ya kudownload and upload hizo file
Yaani hiki unachokisema naona mauza uza tu, daah sina ninachojua rafiki toa tu elimuumetumia platform gani kuitengeneza(naamaanisha wordpress,joomla,etc)?
au umecode from scratch ?
ile nikupe njia rahisi ya kudownload and upload hizo file
usihofu mkuu ,,elimu utaipata tu na hizo file utaziweka na kuupload...Yaani hiki unachokisema naona mauza uza tu, daah sina ninachojua rafiki toa tu elimu
Sent from my TECNO L9 Plus using Tapatalk