Nilipima mwenyewe sasa anshindwa akienda apime nini haswa.Make hali hiyo inatokea kwangu tu!!Ulienda kupima wewe tu au na huyo mkeo???
Sijakuelewa yaan ni kimeo kiaje kwamba akina mama ambao ni vimeo ndo wanakua na hali hiyo.Mkeo kimeo, sisi akinamama ah!!
Nilipima daktari kasema sina ugonjwa wowote wa zinaa,na sina uhakika kama alikua nao make toka mwez 11 had February hatukua na tatizo lolote isipokua limejitokeza mwanzon mwa March.hilo nina uhakika ni gonohorea, inabidi mkapime wote, either wewe au mkeo mmoja sio mwaminifu anntoka nche ya ndoa, au kabla hamjaoana mmoja wenu alikuwa na ugonjwa huo. pole sana mkuu, utapona tu hata mimi nlishapata ugonjwa huo ila nlipona sasa nipo fit.
Nilipima mwenyewe sasa anshindwa akienda apime nini haswa.Make hali hiyo inatokea kwangu tu!!
Nashukuru make inanichanganya sana sitaki kuamini kama mwenzangu kashanisaliti mara hii na mbaya zaidi kazini tupowote sasa sielewi kabisa imetokeaje?M1 wenu ana magonjwa ya gono,so nendeni nyote kwa mtaalamu pia mnaweza kubadili hata daktari...pole sana mzee
Ndo ikoje hiyo simple herpes?.nan hasa anakua affected na hiyo simple herpes?.Dawa yake huwa nn?Sio simple herpes?
Ni kweli alishawahi kupima na akakutwa na UTI akatibiwa!najua magonjwa ya zinaa kwa wanawake kuonekana kwake ni kwa shiiida sana.,unaweza kukuta ur wife ana U.T.I au Gono zembe lakn alilipata kipindi cha nyuma..cha msingi nendeni mkapime damu, U.T.I pmj na Gono....pole kiongozi