Wakuu habari, naombeni msaada wenu kwani nilipatwa na tatizo la kuwashwa ukeni, nikaenda hospitali na kupatiwa dawa ambazo zilikua za kuingiza ukeni, kwa bahati nzuri tatizo liliisha. Sasa yapata miezi miwili na tatizo limerudi tena, hivyo naombeni msaada