Kuwashwa baada ya kuoga

Quetzal

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2018
Posts
6,345
Reaction score
10,822
Habari wakuu

Nikama miezi miwili hivi nawashwa sana
nikimaliza kuoga.

Naweza kaa nusu saa nzima najikuna hii inaweza kuwa inasababishwa na nini?

Natiba yake ni nini?
 
Ukiwashwa usijikune vumilia hiyo hali hudumu kwa muda mfupi.
 
Quetzal angalia texture ya ngozi yako, inawezekana ngozi yako ni kavu sana. Hio ndio sababu kubwa unless uwe na matatizo ya kansa ya Damu
 
ogea sabuni yenye viwango kama ambazo wakuu wamekua wakishauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…