Kuwa Rais, anafaa?

Ananafaa sana tu. bora huyu ana maamuzi magumu kuliko Prof. fake TEZI.
Ni kweli ana maamuzi magumu. Kama ni kuhonga ili apate sapoti ya urais hasiti kufanya hivyo! Kufanya biashara zake ikulu kwake ni kitu rahisi sana! Huyu mheshimiwa ni kweli ana maamuzi magumu.
 
Ilivyo sasa kila anaeonyesha nia anafaa. Rahisi tu kama majina kwenye coca, unaangalia eliyepo anauwezo gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…