Kuna matapeli wanajifanya ni Kampuni ya COCACOLA Promotion wanakuambia umeshinda 1 Milioni. Jamaa wanakuambia unaweza kutumia kwa Bank au Tigo Pesa. Unatakiwa kulipia kwanza 11,500.
Watanzania tujihadhari na huo wizi, pia usipende kupata hela kwa urahisi bila kufanya kazi yoyote. Wewe haujashiriki promotion yoyote inakuwaje uwe Mshindi.
Asante kwa taarifa. Lakini matapeli sometimes hawafikirii sana. kama mtu ameshinda 1 milion, si anawaambia hiyo hela wanayotaka watumiwe wakate kwenye hiyo milion aliyoshinda. Then inayobaki wakutumie mshindi.