Dear nimekusamehe maana hujui ulisemalo wala ulitendalo . I feel sorry for you and your generation to come. Because what you do to those women right now , prepare for your daughters and sons to be treat the same. Unless if you repent , and change your ways, & character .. Thanks...Mpelekee mchungaji wako!!!
nyie ndio huwa mnafinyangwa kimya kimya na jamaa wanasepa kimya kimya.
mwisho wa siku mnajikuta mmejaza fuso na wale wanaoonekana wehu wamepitiwa na wawili tuu
Duh mwanamke humuwez kwa akil z kibnadam.
Habari za wakati huu wana MMU,
Leo nataka kutoa experience yangu kidogo kwanini demu akijua unampenda anakuwa anakusumbua? Nimekuwa mkatili na jeuri kwa warembo na nashangaa hao ninao wafanyia jeuri bado wananipenda na kunihitaji sana.
But kuna kawa wawili hao nawa treat poa sana yani bila kuwauzi but hao wanaonekana kuzingua zingua sometimes mikausho mikali mara wajirudi kiukweli wanasumbua akili yangu mmoja nimeshagegeda mmoja bado ananidanganya.
Hao wengine ninao treat vibaya wao yani wananikubali kiroho safi kabisa tena sio kwa kuwabembeleza, sasa why hawa ninaopenda na kutreat vizuri wana wenge?
Mkuu ni kwenye mapenzi tu au kila kitu?Hii "eksipiriensi" mkuu nimekutana nayo pia mwanamke unayemeshimu sana mara nyingi,narudi mara nyingi(sio mara zote) wana-behave hivyo ,ukiamsha ndio anajifanya kujali/kupenda.tujitahidi kuwaelewa tu!
Badilisha formula, Anza kuwatreat vizuri Hao wasiokusumbua. Na uchague mmoja Kati Yao utulie naye, au una mpango wa kuwapanga foleni hadi lini?