Kuvaa night dress kwa wanandoa/wapenzi...

Mh labda nyie wasichana mwenzangu, mume umeishi nae miaka nenda rudi ana muda wa kukuvua nguo saa ngapi, ila kama uko kwenye uhisiano mgeni au ndoa changa labda watajaribu ila huko mbelembele anapapasa anaona una nguo huyooooo anaanza kukoroma, kesho yake utaona kama utavaa tena
 
Ahaa ahaa Gaga umenifurahisha kweli
 
Ahaa ahaa Gaga umenifurahisha kweli
Mwenzangu siku hizi wanaume wetu na hizi valuer aje akuvue nigth dress saa ngapi? kwanza wakati imefika magotini keshalala zamani saaana, siku hizi ikiwezekana ukisikia gari tu nje unakaa tayari kabisa mmoja huku mwengine kule kama siku hiyo una ratiba
 
Kuna wanawake wengine wanalala na chupi, sasa ina maana hapo mzee akitaka inabidi aanze kumpangua kana kwamba wanakutana kwa mara ya kwanza. Hii imekaaje.

Du! mimim nilifikiri wengi wanalala na chupi...maana wife ndo alivo....miaka mitano sasa "nampangua" kana kwamba........anyways lkn ingerahisisha mambo kama angekuwa havai...ngoja niongee nae!!:croc:
 

Yes! We mwanamke umenena vile vinight vyenu dress laiiini kama vinateleza fulani, visibane alafu ukikivaa usiweke kufuli ndani ulale hivyohivyo.
 
Yes! We mwanamke umenena vile vinight vyenu dress laiiini kama vinateleza fulani, visibane alafu ukikivaa usiweke kufuli ndani ulale hivyohivyo.

Mmmhhh we paka we we
nway inaonekana unajua unachotaka

Nway kwa mie binafsi
rangi nyekundu inaendana na
Skin nyingi.. any bright colour
ina inaongeza mvuto..wakati wa usiku
 

Twih! Twi! Twi! Twi! Watu wengine mtatuua huku! Siamini kama ni Wtanzania wanaoweza kusema ukweli pasipo kupindapinda! Umenena
 
Du! mimim nilifikiri wengi wanalala na chupi...maana wife ndo alivo....miaka mitano sasa "nampangua" kana kwamba........anyways lkn ingerahisisha mambo kama angekuwa havai...ngoja niongee nae!!:croc:

Ila nafikiri kuwa ni muhimu kila siku mtu aone kitu kipya! Nguo zenye mvuto nk. Inapendeza sana ukimkuta mtu akiwa amepangilia nguo kimvuto, mambo ya kujianika nyama nyama siyo mazuri, kitu utafute kitu kilichojificha bwana siyo mtu kujianika wazi tu muda wote, hata chakula kilichofunikwa kwenye chombo kizuri na kisafi huvutia sana, labda kwa walevi lakini wenye akili nzima ambazo hazina Kiroba naamini watanikubali sana. Starehe kuvuana bwana،
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…