Galaxy note 11? Imezalishwa lini mkuu, maana naona galaxy latest ni note 8 baada ya note 7 kupata matatizo ya betri kulipuka. Mi nina note 5 imeupgrade mpaka android 7.0.

Ingia kwenye website yao au nenda kwenye system update ipo pale kwenye about phone angalia kama inakubali kuwa updated kama inaruhusu basi utadownload file kisha uta update