S Smiling killer JF-Expert Member Joined May 1, 2018 Posts 1,289 Reaction score 1,126 Dec 14, 2018 #1 Kauli ya kuunga mkono juhudi ni version au kauli nyingine ya zidumu fikra sahihi za mwenyekiti!!...lakini kwa dunia ya sasa inawezekana kweli kila unachosema wewe kikawa saw a na kila MTU akawa anafikiria hivyo hivyo!!?
Kauli ya kuunga mkono juhudi ni version au kauli nyingine ya zidumu fikra sahihi za mwenyekiti!!...lakini kwa dunia ya sasa inawezekana kweli kila unachosema wewe kikawa saw a na kila MTU akawa anafikiria hivyo hivyo!!?