Nimeona watu wengi humu wakiwa wanaulizia mishahara kwenye kada mbalimbali nadhani Hawa ni form four leaver ambao hawajui hata confidentiality!
Huwezi kujua mshahara kabla hujaingia huko, niwaombe tu acheni uvulana huo wa kuuliza vimaswali vya kisichanasichana! Onyesheni ukomavu wenu tuone kama mmebarehe kweli, tofauti na hapo mtazidi kuonekana mmevunja nyungo[emoji16] shezy typ
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka usikariri hivyo inategemea condition iliyopo ya mtu binafsi.Nimeona watu wengi humu wakiwa wanaulizia mishahara kwenye kada mbalimbali nadhani Hawa ni form four leaver ambao hawajui hata confidentiality!
Huwezi kujua mshahara kabla hujaingia huko, niwaombe tu acheni uvulana huo wa kuuliza vimaswali vya kisichanasichana! Onyesheni ukomavu wenu tuone kama mmebarehe kweli, tofauti na hapo mtazidi kuonekana mmevunja nyungo[emoji16] shezy typ
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambie huyo amekariri situation aliyo nayo yeye ndio anafikir kila mtu yuko hvyoBinasfi Sijaona tatizo kwa MTU kuuliza Mshahara! Kila MTU ana Perception Zake... Angalia ww ndo usije Ukaonekana MJINGA
Sent using Jamii Forums mobile app