Kuuliza sio ujinga

Eti mimba huonekana baada ya mda gani na ina dalili kama za kuona mwezi kwa mwana mke

Shule zimeanza kufunguliwa,hawa wanafunzi waliojichanganya wakati wa likizo za mwisho wa mwaka wanahaha sana.

Ushauri wangu, njia za uzazi wa mpango kwenu ni mapema sana kwa umri wenu, mnajitafutia madhara makubwa huko mbeleni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…