Kuuliza si ujinga!!!

Jf sasa nadhani imefika pahala kuruhusu imri fulani katika baadhi ya jukwaa. Huez nambia una miaka 27 hujui hata jukwaa linalohusika na hiyo post yako liko wapi
 

utakuta wewe nijitu kubwa kwel lakn huna fikla ya kitugan cha ku post,na kama si jitu kubwa bas nakushaur nenda kamseme kwa mamako
 
Matokeo ya darasa la saba hujaenda soma ubaoni uende form 1...nice studz ukianza sawa dogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…