Please please please usimlazimishe kutumia kulia, mwache hivohivo.
Acha asili uchukue nafasi yake. Kutumia kushoto sio nuksi wala balaa ila ni maumbile tu kama walivyo weusi na weuzi au wafupi na warefu
Naamini mkono wa kushoto na kulia yote tumepewa na MOLA sa sijui kwanini wanasema mkono wa kushoto ni wa chooni!! Kama ni wa chooni kwa nini MUNGU akupe huo mkono c??naombeni wataalamu wa mambo mtujuze hilo inakuwaje ,