Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,910
- 6,503
Poppy HatonnNgoja Kiranga aje na uchambuzi zaid
Ndo maana nilikungoja maana wewe hunaga Kona Kona na una ufahamu mkubwa sanaPoppy Hatonn
Katika zama hizi za upotoshaji mwingi mitandaoni, unahakiki vipi habari unazopata kuwa ni za kweli na si za upotoshaji?