kamati yamaamuzi magumuu
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 227
- 263
- Thread starter
-
- #41
Embu mtumie tu laki 5 kwenye mpesa halafu kaa kimya uone. Tafuta pesa ung'eng'e utakumalizia sabuni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio Kwanza 4 Feb 2020
Tafuta hela mkuu tujenge taifa hao achana nao watakuja wenyewe tu usipo niamini hutakuja kumuamini mwingine
Hapo, anapokusifu na wewe kuwa siriaz usimewe sifa, ila usije ukalegeza yaani ukaanza kuleta urafiki wa dawa ni kuwa serious kuonesha na kusisitiza nia, ukiona anaendelea kausha kidogo ila usimpe nafasi nyingine kama urafiki au ukaribu ambao hauelekei na malengo yako
Alexander The Great
Yaap vzr upate semina elekezi ktk kukabiliana na techn mpya na mbinu tofauti tofauti kulingana na mazingira
Sent using Jamii Forums mobile app
ndio....[emoji848][emoji848][emoji848]poa kaka
kamati ya maamuzi magumu